Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 14 Machi, 2025
Imewekwa: 19 Mar, 2025
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 14 Machi, 2025

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 14 Machi 2025 imepanda hasa kwa Ngombe lakini kwa Mbuzi na Kondoo bei imeendelea kuwa ileile  hii imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa mifugo mnadani.