Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 14 Juni 2024
Imewekwa: 18 Jun, 2024
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 14 Juni 2024

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 14 Juni 2024 imepanda ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na uwepo wa sikukuu ya Eid, hivyo uhitaji wa mifugo uliongezeka kwa kiasi kikubwa kwa ajili ya kuchinja katika sikukuu ya Eid Al Adha.