Imewekwa: 18 Jul, 2023

Bei ya mifugo katika mnada wa Pugu imeendelea kushuka. Katika wiki zilizopita bei zilipanda sana kwa sababu ya mahitaji makubwa ya mifugo yaliyosababishwa na sikukuu ya Eid Al Adha.