Imewekwa: 17 Sep, 2024
Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 13 Septemba 2024 imeshuka ukilinganisha na wiki iliyopita hii imesababishwa na kuongezeka kwa ugavi wa mifugo mnadani