Imewekwa: 19 Apr, 2024

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imepanda kidogo ikilinganishwa na wiki iliyopita, kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na uwepo wa sikukuu ya Eid.