Imewekwa: 11 Nov, 2023

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imepanda ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na ununuzi mkubwa wa mifugo katika nchi ya Comoro.