Imewekwa: 10 May, 2024

Bei ya wastani ya mbuzi na kondoo katika mnada wa Pugu imeshuka kidogo ikilinganishwa na wiki iliyopita huku bei ya wastani ya ng’ombe kutobadilika, kwa kiasi kikubwa hali hiyo ya kushuka kwa bei imesababishwa na kupungua kwa wanunuzi katika mnada (uhitaji kushuka).