Imewekwa: 10 Mar, 2023

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imepanda ikilinganishwa na bei ya wiki iliyopita. Ongezeko hilo la bei pamoja na mambo mengine limechangiwa na kuongezeka kwa mahitaji ya mifugo pamoja kuongezeka kwa ubora wa mifugo iliyopelekwa mnadani