Imewekwa: 15 Sep, 2023

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imepanda ikilinganishwa na wiki iliyopita, ongezeko la bei limesababishwa na kupungua kwa ugavi (usambazaji) wa mifugo bora sokoni.