Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 08 Mar 2024
Imewekwa: 08 Mar, 2024
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 08 Mar 2024

Bei ya wastani ya mifugo ( ng`ombe) katika mnada wa Pugu imeshuka kidogo ikilinganishwa na wiki iliyopita, kwa kaisi kikubwa hali hiyo imesababishwa kwa kuongezeka kwa ugavi mnadani, ng`ombe waliingia kwa wingi hivyo kupelekea bei kushuka. Kwa upande wa mbuzi na kondoo bei ya wastani imepanda kidogo ikilinganishwa na wiki iliyopita, kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa mbuzi na kondoo mnadani, mifugo hii iliingia kwa uchache hivyo kupelekea bei kupanda.