Imewekwa: 10 Oct, 2023

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imeshuka kidogo ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na kupungua kwa soko la nyama kutokana na uhitaji kushuka. Hii imepelekea kushuka kwa soko la mifugo.