Imewekwa: 08 Mar, 2023
Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imeshuka ikilinganishwa na bei ya wiki iliyopita. Kuendelea kunyesha kwa mvua katika baadhi ya mikoa kumesaidia kuboresha hali ya malisho ya mifugo. Kutokana na hali hiyo, idadi ya mifugo inayopelekwa sokoni imeanza kuongezeka na hivyo kupelekea bei kupungua kidogo