Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 02 Mei 2025
Imewekwa: 05 May, 2025
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 02 Mei 2025

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imepanda kidogo kwa wiki inayoishia tarehe 02 Mei 2025 ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa mifugo mnadani, huku uhitaji ukiwa ni mkubwa.