Imewekwa: 05 Feb, 2024

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imeshuka kidogo ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kwa kiasi kikubwa imesababishwa na kupungua kwa ulaji wa nyama, hivyo kupungua kwa soko kutokana na uhitaji kushuka. Hii imepelekea kushuka kwa soko la mifugo.