Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 01 Oktoba 2025.
Imewekwa: 06 Oct, 2025
Mwenendo wa bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 01 Oktoba 2025.

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imepanda kwa wiki inayoishia tarehe 01 Oktoba 2025 ikilinganishwa na wiki iliyopita. Kwa kiasi kikubwa hali hiyo imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa mifugo mnadani, huku uhitaji ukiwa ni mkubwa.