Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu imeshuka katika wiki inayoishia tarehe 7 Januari 2023 ikilinganisha na wiki ya mwisho ya mwezi Desemba 2022. Pamoja na mambo mengine, kupungua kwa mahitaji ya mifugo katika soko kumechangia hali hiyo.
S.L.P 1344 DODOMA,
Area D, Mtaa wa Ndugai,
Barabara ya Magufuli
Nukushi : Simu : +255734210199 Barua pepe : barua@tmb.go.tz
Copyright ©2017 Tanzania Meat Board . All rights reserved.
Designed and Developed by e-Government Authority (eGA). Inaendeshwa na TMB.