Imewekwa: 21 Feb, 2023
Katika robo ya tatu {Jan hadi Machi, 2022} Qatar imekuwa kivutio kikuu cha nyama inayouzwa nje kutoka Tanzania. Takriban asilimia 40 ya tani 1,148.647 za nyama iliyouzwa nje katika robo hii iliishia Qatar.