Imewekwa: 15 Apr, 2023

Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) imetoa Taarifa ya Soko la Mifugo wa Nyama kwa Masoko ya Longido(border Market), Mhunze(kishapu), Rukole, Meserani(Monduli), Igunga(Tabora),Weruweru(Moshi) na Waso(Loliondo) kwa wiki iliyoisha ijumaa ya tarehe 14 April 2023
Kupitia Taarifa hiyo Bodi ya Nyama Tanzania inawasisistiza Watumaji na Wadau,Washiriki na Wafanyabiashara ya Nyama ndani na nje ya inchi kufuata na kuzingatia maelekezo sahihi yanayotolewa na Tasnia ya kusimamia, kuendeleza na uhakiki wa Nyama na bidhaa zake ili bidhaa ya Nyama kuwa na manufaa kwa Watumiaji