Katika kipindi cha kuanzia tarehe 1 mpaka 30 Novemba 2022, Tanzania imeuza jumla ya tani za 1,423 za aina mbalimbali za nyama zenye thamani ya USD 5,370,187.70. Katika tani 1,423 (Nyama ya mbuzi tani 1,047, nyama ya kondoo tani 343, nyama ya ng’ombe tani 32, nyama ya kuku tani 0.67 na nyama ya nguruwe tani 0.2). Hilo ni sawa na ongezeko la silimia 125 ukilinganisha na tani 632 zilizouzwa mwezi Oktoba 2022.
S.L.P 1344 DODOMA,
Area D, Mtaa wa Ndugai,
Barabara ya Magufuli
Nukushi : Simu : +255734210199 Barua pepe : barua@tmb.go.tz
Copyright ©2017 Tanzania Meat Board . All rights reserved.
Designed and Developed by e-Government Authority (eGA). Inaendeshwa na TMB.