Mpendwa Mdau, Bodi ya Nyama Tanzania imeshaanza matumizi ya mfumo wa kielectroniki kwa ajili ya usajili wa vibali uitwao MIMIS (mimis.mifugo.go.tz). Unatakiwa kuhuisha usajili wako wenye namba (Reg No) uliosajiliwa kwenye kundi la (Mdau) kwenye mfumo wa MIMIS ndani ya muda wa wiki mbili kuanzia 13/07/2022 mpaka tarehe 26/07/2022.Kama hujalipa ada ya kuhuisha usajili wako (Retention fee) za nyuma unatakiwa kulipia kabla ya kuingiza taarifa kwenye mfumo wa MIMIS na kama umelipa ambatanisha cheti na Barua au risiti ya malipo ya kuhuisha usajili wako.
Kwa maelezo zaidi naomba ufike ofisi za Bodi ya Nyama Tanzania ukiwa na kitambulisho kimoja wapo kati ya hivi:, Kitambulisho cha mpiga Kura,Taifa, Lesseni ya gari, Hati ya kusafiria pamoja na Cheti na Barua au risiti ya kuhuwisha usajili wako. Piga namba hizi za simu kwa mawasiliano Zaidi:, Dodoma 0767411195, Dar es Salaam 0688006874,Arusha 0767721245, Mwanza 0756758223 , Tabora 0762931960 na Mbeya 0756413027
S.L.P 1344 DODOMA,
Area D, Mtaa wa Ndugai,
Barabara ya Magufuli
Nukushi : Simu : +255734210199 Barua pepe : barua@tmb.go.tz
Copyright ©2017 Tanzania Meat Board . All rights reserved.
Designed and Developed by e-Government Authority (eGA). Inaendeshwa na TMB.