Katika kuhakikisha kwamba wadau wetu wanapata huduma bora, Bodi ya Nyama Tanzania inatekeleza yafuatayo:-
Uwazi:-Tunatoa huduma zetu zote kwa uwazi
Uaminifu:-Tunatoa huduma kwa heshima, uadilifu na uaminifu wa hali ya juu
Kulenga Wadau:-Mazingira ya kirafiki yanayowezesha kufikia matarajio ya wadau wetu
Huduma Iliyobora:-Kusimamia na kufanikisha lengo tarajiwa ili kufanikisha kazi na majukumu ya Bodi
Uwajibikaji:-Kuwajibika kutekeleza majukumu kwa kuzingatia kanuni na miongozo
Kutobagua:-Tunatoa huduma sawa kwa wadau bila ubaguzi wote wote
S.L.P 6085 DSM,
Veterinary Complex
131 Barabara ya Nelson Mandela,
Nukushi : Simu : +255734210199 Barua pepe : info@tmb.go.tz
Copyright ©2017 Tanzania Meat Board . All rights reserved.
Designed and Developed by e-Government Authority (eGA). Inaendeshwa na TMB.