Imewekwa: 27 Feb, 2025

Bei ya wastani ya mifugo katika mnada wa Pugu kwa wiki inayoishia tarehe 21 Februari, 2025 imepanda hasa kwa Ngombe ukilinganisha na wiki iliyopita hii imesababishwa na kupungua kwa ugavi wa mifugo mnadani.