ANGALIZO Taarifa zinazoonekana kwenye tovuti ya Bodi ya Nyama Tanzania zinaletwa kwenu “kama zilivyo”. Licha ya kwamba taarifa hizo zinasimamiwa na vifungu vya Sheria za Makosa ya Kimtandao ya Mwaka 2015, Elektroniki na Mawasiliano ya Posta ya Mwaka 2010 na Sheria ya Hati miliki na haki za Ujirani ya Mwaka 1999 kuhusiana na uwepo na uendelevu wa taarifa hizo, huduma baada ya kutengenezwa kwa tovuti na uhalisia wa taarifa zake. Bodi ya Nyama Tanzania, wafanyakazi wake na wenye mamlaka ya kusimamia hawatahusika na taarifa zozote zilizobadilishwa ambazo hazikuwekwa na Bodi ya Nyama katika tovuti hii ikiwa ni pamoja na kutofungamana na upande wowote ule, kwa sababu yoyote ilea ma kwa kosa lililotendeka kufuatia kuwepo kwa taarifa mtandaoni ambazo hazijawekwa na Bodi ya Nyama Tanzania. Ili kuhakikisha uhalisia wa taarifa hususan wakati wadau wanapojihusisha na masuala ya biashara, watumiaji na wadau wengine wanashauriwa kutembelea ofisi za Bodi ya Nyama Tanzania au kuandika barua ya kiofisi kupitia anuani ifuatayo: - Bodi ya Nyama Tanzania, S.L.P 6085, Mikocheni, Regent Estate, Mtaa wa Ursino, Nyumba Na. 13, Dar es Salaam.
S.L.P 6085 DSM,
Veterinary Complex
131 Barabara ya Nelson Mandela,
Nukushi : Simu : +255734210199 Barua pepe : info@tmb.go.tz
Copyright ©2017 Tanzania Meat Board . All rights reserved.
Designed and Developed by e-Government Authority (eGA). Inaendeshwa na TMB.