Bei ya wastani ya ng’ombe katika mnada wa Pugu imepanda ikilinganishwa na bei ya wiki iliyopita. Ongezeko hilo la bei pamoja na mambo mengine limechangiwa na kupungua kwa ugavi wa ng’ombe bora sokoni. Kwa upande wa bei ya Mbuzi na Kondoo, bei imeshuka kidogoikilinganishwa na wiki iliyopita. Sababu kubwa ikiwa nikupungua kwa mahitaji ya bidhaa hiyo.
S.L.P 1344 DODOMA,
Area D, Mtaa wa Ndugai,
Barabara ya Magufuli
Nukushi : Simu : +255734210199 Barua pepe : barua@tmb.go.tz
Copyright ©2017 Tanzania Meat Board . All rights reserved.
Designed and Developed by e-Government Authority (eGA). Inaendeshwa na TMB.