MHE. Waziri wa mifugo na Uvuvi akiweka jiwe la msingi kwenye kiwanda cha nyama cha TANCHOICE kilichoko kijiji cha Soga kata ya Soga Wilaya ya \Kibaha iliyofanyika tarehe 26/03/2019 . Kiwanda hiki kitakapokamilika kitachakata ng'ombe 1000 kwa siku na mbuzi 4500. Ni kiwanda kinachotengenezwa kwa technologia ya kisasa kabisa na kitakuwa cha pekee ukanda wa Africa Mashariki na Kusini mwa Africa.
S.L.P 6085 DSM,
Veterinary Complex
131 Barabara ya Nelson Mandela,
Nukushi : Simu : +255734210199 Barua pepe : info@tmb.go.tz
Copyright ©2017 Tanzania Meat Board . All rights reserved.
Designed and Developed by e-Government Authority (eGA). Inaendeshwa na TMB.